Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagwa na viongozi wakati akitoka
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwenda kwenye mapumziko kabla ya
kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani leo
jioni. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihoji moja ya kifaa cha kuongozea boti ya mwendo kasi kinavyofanya kazi.
Karibu Zanzibar. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Rodrick Mpogolo akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Mjini Magharibi, Aziza Mapuri baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa
CCM Abdulrahman Kinana kuwasili Bandari ya Zanzibar leo
"NAAM
TUMEWASILI KWA MUDA SAHIHI" Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
akimwambia Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai baada ya
kuwasili Bandari ya Zanzibar leo
Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole (kushoto) baada ya kuwasili Bandari ya Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (kushoto) alipowasili Bandari ya Zanzibar leo
Humphrey Polepole akilakiwa baada ya msafara wa Kinana kuwasili Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui leo
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi Aziza Mapiri akitoa maelezo kwa Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu hali ya kampeni za uchaguzi mdogo
wa Ubunge jimbo la Dimani walipokuwa katika Afisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Zanzibar leo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na msafara wake wakitazama eneo
alilouliwa muasisi wa Mapinduzi ya zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume
katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, leo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagwa na viongozi wakati akitoka
Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kwenda kwenye mapumziko kabla ya
kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani leo
jioni. Picha zote na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment