December 07, 2016

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA MAFUNZO YA USHONAJI WA KISASA KWA VIJANA 200 MOROGORO

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, akiangalia ushonaji nguo katika kiwanda cha Mazava Fabrics & Production Ltd cha mjini Morogoro , leo kabla ya  kuzindua mafunzo ya stadi za kushona nguo kwa teknolojia za kisasa kwa vijana 200 kati ya  1,000 waliojasiliwa kushiriki mafunzo  hayo  ya miezi miwili kuanzia Desemba mwaka huu. Picha ya Juu ni Naibu Waziri Mavunde akiwa na Meneja wa kiwanda hicho, Nelson Mchukya. 

No comments:

Post a Comment