November 13, 2016

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AKABIDHI VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SH MILIONI 15 KITUO CHA AFYA MAKOLE

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde, akikabidhi msaada wa vifaa tiba na dawa kwajili ya Kituo cha afya cha Makole Mkoani Dodoma mwishoi mwa wiki. Vifaa tiba hivyo vinathamani ya sh Milioni 15.
Makabidhiano ya dawa yakiendelea.

No comments:

Post a Comment