November 30, 2016

KUAGWA KWA MWILI WA KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA SACP EX PETER KAKAMBA JIONI HII.



Mnajulishwa kuwa mwili wa Marehemu Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, aliyefariki dunia Alfajiri ya Novemba 30,2016 utaagwa leo Novemba 30, 2016 Saa 11 Jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na baadaye utasafirishwa kwenda Mpanda  Mkoani Katavi kwa ajili ya Mazishi.

Imetolewa na:
Advera John Bulimba - ACP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.
Makao Makuu ya Polisi.        

No comments:

Post a Comment