Warembo 30 wanaoshiriki kinyanganyiro cha kumsala Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara tu baada ya kutembelea ofisi za gazeti la Guardian zilizopo ndani ya mkoa wa Arusha |
picha ikionyesha baadhi ya
warembo akiwemo mwenyeji wao ambaye ni miss Arusha wa pili kulia Maurine Ayubu wakiwa ndani ya ofisi za gazeti
la Gurdian na Nipashe zilizopo jiji Arusha
Msimamizi wa kituo cha Gazeti la Gurdian na Nipashe mkoa
wa Arusha na Manyara Edward Qorro akiwa anatoa maelekezo mafupi
kwa warembo juu ya kazi zinazofanya na magazeti hayo katika mkoa
huu
Msimamizi wa kituo cha Gazeti la Gurdian na
Nipashe mkoa wa Arusha na Manyara Edward Qorro akipokea mkoa wa
Shukrani kutoka kwa Mshiriki wa mashindano ya miss Tanzania kutoka
mkoa wa Arusha Maurine Ayubu
ambaye pia ndio mshindi wa Miss kanda ya kaskazini mara baada
yakumaliza kutmbelea ofisi za magazeti hayo zilizopo apa
Arusha
mkuu wa kituo siaakaamua
kutumia mda huo kuji selfie na warembo
Meneja masoko wa gazeti la Gurdiaan Swalehe
Walii akiwa anatoa zawadi ya soda kwa mrembo Maurine
Ayubu ambaye ni mwenyeji wa warembo wenzake wanaoshiriki
shindano hilo kwani ametokea mkoa wa Arusha
warembo wakiwa wanatoka katika
ofisi za gazeti la The gurdian mara baada ya kumaliza kutembelea
nili
nilipata wasaa wa kupiga picha na baadhi ya
wakuu wa msafara wa warembo hao wa kwanza kabisa ni kulia mimi
mwenyewe mmiliki wa blog ya libenele la kaskazini woinde shizza
akifuatia akifuatiwa Mshiriki wa mashindano ya miss
Tanzania kutoka mkoa wa Arusha Maurine Ayubu ambaye pia ndio mshindi wa Miss kanda ya
kaskazini,wa pili kushoto ni muuandaaji wa shindano la mss kanda
ya mashariki Alex NIkitas
warembo wakitoka ndani ya ofisi za
The Gardian na nipashe zilizopo mkoani Arusha
Habari
picha na Woinde Shizza,Arusha
Jumla ya
warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali hapa nchi ni
wanashiriki shindano la kumsaka mrembo wa Tanzania (Miss Tanzania) leo
wameingia Rasmi mkoani Arusha na kutembelea ofisi za gazeti la The
Guardian na Nipashe ikiwa ni moja ya kazi ambazo watazifanya
wakiwa mkoani hapa.
Akizumza na
waandishi wa habari Mkuu wa Itifaki wa
Miss Tanzania Albert Makoye alisema kuwa wameingia jijini hapa leo na
wanakaa kwa muda wa siku tatu ,na katika siku hizo wanampango wa
kufanya shughuli mbalimbali za kijamii
Aidha
alisema kuwa pia ndani ya siku hizo tatu kutakuwa nashindano la Top
model ambalo litafanyika Jumamosi October 15 katika ukumbi wa Triple A
ulipo ndani ya jiji la Arusha
"tunafanya
shindano hilo katika ukumbi wa triple A natunarajia wananchi wengi wa
Arusha watajitokeza kuwaona warembo hawa na kiingilio cha shindano
hilo ni shilingi 10000 tu hivyo napenda kutumia mda huu kuwaalika
wananchi wa Arusha kuja kumuangalia nani atakuwa Top Model"alisema
Makoye
Alisema
kuwa mbali na hapa warembo hao wameshatembelea mikoa mbalimbali
ikiwemo Mkoa wa Dodoma,Singinda ,Dar es Salaam hapa Arusha
na hatimaye wanatarajia kuondoka na kwenda mwanza ambapo ndipo
shindano hili linafayanyika kwa mwaka huu .
Alisema kuwa
shindano la Miss Tanzania linatarajiwa kufanyika october 29 katika
ukumbi wa Rock City Mall ambapo alibainisha adi sasa warembo
wote 30 wapo vizuri na wanasubiria siku yenye ifike na maandalizi
yashindano yamekamila
Kwa upande
wake mkuu wa kituoa cha The Gardian /Nipashe mkoa wa Arusha na Manyara
Edward Qorro alitoa shukrani kwa
warembo hao kuwatambelea na kuwatakia kila la kheri katika mashandano
hayo wanayotarajia kushiriki hivi
karibuni
No comments:
Post a Comment