Wafanyakazi wa Tbl Group ,Kutoka
kushoto , Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla na Afisa Uhusiano na
Mawasiliano Amanda walter (katikati) wakimuangalia kwa makini Mkaguzi wa magari
toka makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani ,Muhidini
Mohamed wakati alipokuwa akiwaandika
stika za magari yao ofisini kwao Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama.
Meneja majengo wa TBL Daud Luwilla (kulia) na afisa Uhusiano na
Mawasiliano wa TBL Group Amanda walter ,
wakimwangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi Polisi kitengo cha usalama barabarani nchini,
Muhidini Mohamed wakati alipokuwa akikagua magari ya wafanyakazi kampuni hiyo
Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda
kwa usalama barabarani.
Meneja Masoko wa TBL Group
Fimbo Butalla (kulia) akikaguliwa gari lake na
mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha
Usalama barabarani , Muhidini Mohamed (katikati
)wakati wa zoezi la kukagua magari ya
wafanyakazi wa TBL iliyofanyika Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
.Kushoto ni Meneja majengo wa
kampuni hiyo Daud Luwilla .
Meneja Masoko wa TBL Group
Fimbo Butalla (kulia) akikaguliwa gari lake na
mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha
Usalama barabarani , Muhidini Mohamed (katikati
)wakati wa zoezi la kukagua magari ya
wafanyakazi wa TBL iliyofanyika Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
.Kushoto ni Meneja majengo wa
kampuni hiyo Daud Luwilla .
Mkaguzi wa magari kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani , Muhidini Mohamed (kulia) akimwandikia stika ya gari Meneja Masoko wa TBL Group, Fimbo Butalla (wa pili kushoto) wakati wa zoezi la kukagua magari ya wafanyakazi wa kampuni hiyo Masaki jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama .Kushoto ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (katikati ) akikabidhiwa stika ya gari lake na mkaguzi wa magari toka makao makuu ya Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani ,traffic nchini, Muhidini Mohamed (kushoto ) mara baada ya kumaliza zoezi la kukagua magari ya wafanyakazi wa TBL Group katika ofisi zake za Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani .Kulia ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
No comments:
Post a Comment