Mchekeshaji Steve Nyerere akitoa burudani katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria. Steve Nyerere amepanga kufanya onyesho la kuchekesha mara moja kwa kila mwezi ambapo mwezi ujao anatarajia kufanya onyesho hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Happi aalikuwa ni mmoja ya wageni waalikwa.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda alikuwa ni miongoni mwa wageni waliofika katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
Mchekeshaji Steve Nyerere akicheza muziki na msanii Dokii katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Wageni waalikwa walioweza kufika katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
Vijana wakitoa burudani.
Bendi ya ngoma za asili ijulikanayo kwa jina la 'Mango Star' ikitumbuzia katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
Wanenguaji Super Nyamwela, Mandela sura mbaya na Lilian Intanet wakionyesha umahili wao wa kucheza.
Mchekeshaji Steve Nyerere (katikati) akionyesha umahili wame wa kuimba katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria. Steve Nyerere amepanga kufanya onyesho la kuchekesha mara moja kwa kila mwezi ambapo mwezi ujao anatarajia kufanya onyesho hilo.
Wageni waalikwa wakifuatilia burudani.
Muonekano wa ukumbi.
Mchekeshaji Steve Nyerere akimtambulisha mchekeshaji mwenzake Michelle.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Happi akisalimiana na wageni waliofika katika katika usiku wa Steve Nyerere Stand Up Comedy iliyofanyika Jumamosi Oktoba 8, 2016 ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam ambapo viongozi mbali mbali waliweza kuhudhuria.
Wasanii nao walibadilishana mawili matatu.
Wadau wakubwa wa Kajunason Blog nao walikuwepo...
No comments:
Post a Comment