Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya
Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto) akizungumza na wageni na
Viongozi Mbalimbali walio jumuika katika hafla ya Mahafali ya Tatu ya
kidato cha nne 2016, Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa
wa Pwani, Kulia ni Cyprian Kizumba Mkuu wa Shule hiyo na watatu ni
Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange
(kulia) akizungumza na Viongozi mbalimbali akiwemo Mgeni Rasmi. Kaimu
Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (kushoto) kabla yakwenda
kuzunguukia miradi iliyopo shuleni hapo,
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto)
akimuonyesha mradi wa ng'ombe, Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga,
Clement Muya, mara alipo tembelea miradi ya shule hiyo akimwakilisha,
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Sanga, ambapo Mkuu wa shule
alimweleza kutokana na mradi hupata maziwa Lita 20 hadi 25 kwa siku
Wakiangalia Bwawa la Samaki
Migomba ya ndizi ya shule
Bata wa kisasa wanaofugwa shuleni hapo
Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto) akizungumza mara walipotembelea banda la mbuzi
Sehem ya mbogamboga
Shamba la mahindi na mbogamboga
Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba (wa
pili kushoto) akimuonyesha mgeni rasmi sehem wanayolima mahindi muda
wote kwa kutumia maji ya kumwagilizia kitaalamu
Nyanya
Michungwa
Nguruwe
Moja wa wanafunzi wanaohitimu Napenda John (wa kwanza kushoto) akimwelezea mgeni rasmi jinsi ya kutumia pesa
Godlisten Mndasha (kulia) akielezea Papai linavyo fanya kazi katika mwili wa Binadamu
Wageni waalikwa
Wahitimu katika muonekano
Wahitimu wakiingia kwa ngonjela
Bendi ya Shule hiyo ikiimba wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kumaliza Kidato cha nne katika mahafali ya tatu
Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo (wapili kulia) akisalimia
Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba Kulia na mkewake Mery Kizumba kushoto wakisalimia wageni waalikwa
Wanafunzi wakiwa katika igizo
Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga,
Clement Muya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanafunzi, Suzan Kasikana
(kulia) cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha nne 2016 wakati wa
mahafali ya tatu ya Shule ya Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya
Mwandege Mkoa wa Pwani . Kushoto ni Mkurungezi wa Shule hiyo, Cyprian
Kizumba. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange na Diwani wa Kata
hiyo, Adolph Kowelo
No comments:
Post a Comment