Baadhi ya
wafanyakazi katika matembezi ya kujenga afya
Baadhi ya
wafanyakazi katika matembezi ya kujenga afya
Baadhi ya wafanyakazi katika picha ya pamoja baada ya
kumaliza mashindano
Baadhi ya wafanyakazi katika picha ya pamoja baada ya
kumaliza mashindano
Baadhi ya wafanyakazi katika picha ya pamoja baada ya
kumaliza mashindano
Baadhi ya wafanyakazi katika picha ya pamoja baada ya
kumaliza mashindano.
*******
MATEMBEZI ya
kujenga afya ya September Fun run yalifanyika jijini Dar es salaam katika maeneo
ya Oysterbay chini ya udhamini wa kinywaji cha Grand Malta ambapo
yaliwashirikisha wafanyakazi kutoka taasisi mbalimbali pamoja na familia zao
ambapo pia walipata fursa ya kufanya mazoezi mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha
afya .
Miongoni
mwa washiriki wa matembezi haya ya kilometa 10 ni baadhi ya wafanyakazi wa
kampuni ya TBL Group ambao wamekuwa na utamaduni wa kufanya mazoezi mara kwa
mara kupitia programu ya kampuni yao inayojulikana kama Afya Kwanza ambayo
inahamasisha ufanyaji wa mazoezi kwa wafanakazi na familia zao ambapo pia
wamekuwa wakipimwa afya zao na kupatiwa elimu ya afya na umuhimu wa kupata
lishe bora.
No comments:
Post a Comment