Mwandishi wa Habari, Grace Nackso akimfariji mjane Frigeria Adolph Simon Kivamwowakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wa marehemu Adolph Simon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. |
Adolph Simon Kivamwo enzi za Uhai wake. |
|
Mjane Frigenia na wanawe wakiaga mwili wa marehemu, Adolph Simon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. |
Baadhi ya wanafamilia na majirani wakiaga mwili wa marehemu Adolph Simon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI. |
Baadhi ya wanafamilia wakiaga mwili wa marehemu Adolf Saimon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo, Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo. |
Wanakwaya ya Sinai wakitumbuiza katika shughuli hiyo nyumbani kwa Marehemu Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo. |
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kulipeka kwenye gari kwa kuelekea viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa. |
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kulipeka kwenye gari kwa ili kuanza safari ya viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa. |
Waombolezaji wakeka jeneza kwenye gari tayari kwa safari ya viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa. |
Mjane Frigenia (kushoto) na wanawe, Arm Eliza (mwenye miwani) wakiwasili viwanja vya leaders Club. |
Wanahabari wakilipokea jeneza baada ya mwili wa marehemu Kivamwo kuwasili viwanja vya vya leaders Club kwa shughuli ya kuagwa. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo. |
|
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo. |
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo. |
Wanakwaya ya Sinai wakitumbuiza katika shughuli hiyo. |
Mjane Frigenia Adolph Kivamwo na wanawe, Arm, Eliza (mwenye miwani) na Miriam (kulia) wakiwa na huzuni wakati wa msiba huo. |
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media, Dkt. Reginald Mengi akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji baada ya kuwasili viwanja vya Leaders Club. |
Mchungaji Reuben Njereka akitoa neno katiba ibada ya kuaga iliyofanyika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam. |
Wana habari wakongwe walipata fursa ya kuonana katika tukio hilo. Kulia Muhidini Issa Michuzi 'Ankali' akisalimiana na Bernard Mapalala huku Hamisi Kibari (kushoto) na Charles Kayoka wakitabasamu. |
No comments:
Post a Comment