Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiweka jiwe la msingi la funguzi wa hotel ya Ramada Encore
yenye hadhi ya nyota 5 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli hiyo Bw. Abdul Ismail.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa hoteli ya Ramada Encore iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (kulia)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli Ramada Encore Bw. Abdul Ismail wakati wa halfa fupi wa uzinduzi wa Hotel ya Ramada Encore jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua hoteli ya nyota 5 ya Ramada Encore katikati ya jiji la Dar es salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment