KUKANUSHA TAARIFA INAYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII
Ofisi ya Makamu wa
Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan (pichani juu) ameomba
kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo ni ya uzushi na uongo haina ukweli
wowote.
No comments:
Post a Comment