Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa
Kiwanda cha sukari cha Kagera,
Ashuwin Rana baada ya kuwasili
kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari
cha Mtibwa Agosti 2, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene
Kebwe na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Kagera Sugar na Mtibwa
Sugar, Seif Ali Seif .
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza baada ya
kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa
kukagua uzalishaji wa sukari
katika kiwanda hicho, Agosti 2, 2016.
Kulia ni mkewe Mary, wapili
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephene Kebwe na Wapili kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha sukari cha Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif
. Kushoto ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa Wa
Morogoro, Kulwa Solobi.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia katika shamba la
miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa
wakati alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni
mkewe Mary na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha
Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif .
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akikagua eneo la mtambo wa maji ya kumwagilia katika shamba la
miwa la kiwanda cha sukari cha Mtibwa
wakati alipokitembelea kiwanda hicho, Agosti 2, 2016. Kushoto ni
mkewe Mary na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sukari cha
Kagera na Mtibwa, Seif Ali Seif
Waziri Mkuu,
Kassimu Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana
na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipotembelea kiwanda hicho Agosti 2,
2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,
Stephene Kebwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi
wa kiwanda cha sukari cha Mtibwa wakati alipokitembelea kiwanda hicho Agosti 2,
2016.
No comments:
Post a Comment