Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama matikiti maji wakati
walipotembelea meza ya Bwana Diocresty Theonesy kwenye banda la wilaya
ya Temeke katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agost 1,
2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Banda la Maonyesho la wilaya ya Temeke
kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016.
Kulia kwake ni mkewe Mary na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ,
Paul Makonda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu0
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama bidha mbalimbali zinazotokana na zao la
mronge zikiwema, dawa, mafuta na sabuni wakati alipoembelea meza ya
Bibi Salome Kaiza (kulia) kwenye banda la wilaya ya Tameke katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro, Agosti, 1, 2016. Kulia kwake ni Mkewe Mary.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati alipotembelea Banda la Tume ya Taifa
ya Uchaguzi katika Monyesho ya Wakulima Nane mjini Morogoro Agosti 1,
2016, Kushoto ni mkewe Mary.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia kwake)wakitazama kilimo cha
mbogamboga kwa mtindo wa kilimo kichuguu wakati walipotembelea banda la
Chuo Kikuucha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwenye maonyeshoya Nanenane mjini
Morogoro Agosti 1, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama viatu vilivyotengenezwa
katika gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro wakati alipotembelea banda
la Magereza katika maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoroo Agosti
1, 2016, kulia ni Mratibu wa Magereza wa maonyesho hayo na Mkuu wa
Gereza la Mtego wa Simba, Oman Msekwa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (Kulia kwake) wakatazama bwawa la
samaki na banda la kufugia bata wakati alipotembelea banda la Magereza
katika monyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitazama mboga zilizokaushwa na
mtambo wa kukaushia mboga hizo katika katika maonyesho ya wakulima
Nanene nane mjini Morogoro Agosti 1, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakipokezana tikiti maji wakiwa
kwenye meza ya Bwana Diocresty Theonesy kwenye banda la Wilaya ya Temeke
katika Maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agost 1, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakikagua mtama uliopandwa kwenye
eneo la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika maonyesho ya wakulima
Nanenane mjini Morogoro Agost 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Banda la Maonyesho la wilaya ya Temeke
kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane mjini Morogoro Agosti 1, 2016.
Kushoto ni mkewe Mary.
No comments:
Post a Comment