Mfanyakazi wa TBL Group Izack
Kingara akiwa amepozi kwenye picha wakati akikabidhiwa zawadi yake ya begi la
Safari kutoka kwa Balozi wa bia hiyo Getrude Francis wakati wa uzinduzi wa
promosheni mpya ya Bia ya Safari Lager kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo
iliyofanyika katika kiwanda cha Ilala jijini Dar es Salaam.
************
Kampuni ya TBL
Group inatarajia kuzindua promosheni kubwa ya kunufaisha wateja wake kupitia
bia yake maarufu ya Safari Lager.Kabla ya uzunduzi kwa wateja
wa nje imezindua promosheni hiyo kwenye
viwanda vyake vilivyopo jijini Dar es Salaam na mikoa mbalimbali ambapo wafanyakazi
walifurahia kinywaji hicho wakati huohuo baadhi yao kujishindia zawadi
mbalimbali baada ya namba zao kushinda
katika droo ndogo ya ndani ya uzinduzi wa promosheni kwa wafanyakazi.
Mfanyakazi wa TBL Group Deogratias
Kapalati akikabidhiwa zawadi yake ya begi la Safari na Balozi wa bia ya Safari,
Getrude Francis wakati wa hafla ya uzinduzi wa Promosheni mpya ya
Safari kwa wafanyakazi wa kampuni
hiyo iliyofanyika Ilala jijini Dar es
Salaam
Bolozi wabia ya Safari ,Getrude Francis (kulia) akifurahia jambo wakati alipokuwa akimkabidhi zawadi ya
bia za safari mfanyakazi wa TBL
Group Calos Kalokozi wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Ijumaa ya Safari kwa
wafanyakazi wa kampuni hiyo iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam
Dennis Mihanji ambaye ni
mfanyakazi wa TBL Group akifurahia zawadi ya begi wakati akikabidhiwa na balozi wa bia ya Safari ,
Getrude Francis wakati wa hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Safari kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam
Balozi wabia ya Safari Getrude Francis (kulia)
akimkabidhi Dennis
Mosha zawadi ya tochi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ijumaa ya Safari kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam
Meneja usalama ,afya na mazingira wa TBL Group Renatus Nyanda,(wa pili
kulia) akiwakabidhi zawadi za opena za safari wafanyakazi wa Tbl Group wakati wa
Uzinduzi wa promosheni ya Safari kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo
wakati wa hafla wa uzinduzi wa Promosheni mpya ya Safari iliyofanyika Ilala
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment