Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa tume ya taifa ya Matumizi Bora ya Ardhi Dkt Stephen
Nindi ( Kulia ), akikabidhi Mpango wa miaka 20 wa Matumizi Bora ya Ardhi
wa Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, Mpango huo umelenga
kutunza mazingira na Bio anuai Zilizopo nchini pamoja na kumnufaish
Mwananchi wa Kipato cha kawaida.
Kaimu
kamishna wa Ardhi nchini Bi Mary Makondo ( katikati), akimsikiliza
Katibu tawala wa Wilaya ya ULANGA mkoani Morogoro Ndugu Abraham
Mwaivile aliyevaa Koti la Rangi ya Kijivu akisisitiza Jambo kwa
Washiriki wa mafunzo ya kuwezesha Umilikishaji Ardhi katika Halmashauri
hiyo, ambapo zoezi la Upimaji Mipaka ya Vijiji na Utoaji hatimiliki za
Ardhi litafanyika. Picha zote na Hannah Mwandoloma
Mratibu
wa Programu ya Kuwezesha Umilikishaji Ardhi katika Wilaya za MALINYI,
KILOMBERO na ULANG, Godfrey Machabe aliyevaa Tai Shingoni, akimsikiliza
kwa Umakini Kiongozi wa Urasimishaji ndugu Sagwile Msananga alipokuwa
akielezea kuhusu Programu ya LTSP, kwa Washiriki wa Mafunzo ya Kuwezesha
Umilikishaji wa Ardhi katika Wilaya ya Ulanga Mkoani MOROGORO.
Kiongozi
wa Urasimishaji kupitia Programu ya LTSP, iliyo Chini ya Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi SAGWILE MSANANGA akitoa maelezo
kuhusu Mradi wa kuwezesha Umilikishaji Ardhi kwa Wananchi pamoja na
Vijiji Vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mkoani MOROGORO.
Kiongozi
wa Urasimishaji kupitia Programu ya LTSP, iliyo Chini ya Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi SAGWILE MSANANGA akitoa maelezo
kuhusu Mradi wa kuwezesha Umilikishaji Ardhi kwa Wananchi pamoja na
Vijiji Vilivyopo wilayani Kilombero Mkoani MOROGORO.
Kiongozi
wa Urasimishaji Sagwile Msananga kupitia Programu ya LTSP chini ya
Wizara ya Ardhi inayoendelea katika Wilaya za MALINYI, KILOMBERO na
ULANGA mkoani Morogoro akitoa Semina elekezi Juu ya Mradi huo, wenye
lengo la Kutoa Kupika mipaka ya Vijiji na kutoka hatimiliki pamoja na
kuhamasisha Ujenzi wa Masjala za Ardhi kwenye Vijiji.
No comments:
Post a Comment