August 01, 2016

MPIGAPICHA JOSEPH SENGA AZIKWA LEO MKOANI MWANZA



Waombolezaji ambao ni wanahabari, Tulo Chambo wa Tanzania Daima (kushoto) na Kurwa Karedia wa Mtanzania wakiongoza waombolezaji katika Kijiji cha Shushi kubeba jeneza.
Waombolezaji wakishusha Sanduku lililohifadhi mwili wa aliyekua Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, Marehemu Joseph Senga aliyefariki Julai 27,2016 nchini India alikokwenda kwaajili ya matibabu na kuzikwa leo kijiji cha Shushi, Kata ya Mwandu Wilayani Mkwimba mkoa wa Mwanza.
 Watoto wa marehu wakiweka shada la maua.
 Mjane wa marehemu Senga, akiweka shada la maua katika kaburi.

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Free Media alikokua akifanyia kazi marehemu Senga akiweka shada la maua.
 Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa akiweka shada la maua. 
 Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania ambaye pia ni Mhariri Mtemdaji wa Kampuni ya Free Media wachapishaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Nevile Meena akiweka shada la maua.
 Mchungaji akiombea mwili wa Marehemu Senga. Picha: Saidi Powa.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Free Media alikokua akifanyia kazi marehemu Senga.

No comments:

Post a Comment