Mkurugenzi wa kitengo cha
Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz, yuko
nchini kwa ziara ya kikazi ambapo amekutana na wafanyakazi wa kampuni ya
TBL Group ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni hiyo.
Lucia Swartz amekutana na
wafanyakazi katika hoteli ya Holiday Inn iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo
pia alipata fursa ya kufahamiana nao na kubadilishana mawazo kuhusiana na
masuala mbalimbali ya kuboresha ustawi wa wafanyakazi ambapo pia walipata fursa
ya kuuliza masuala mbalimbali yanayohusiana na utawala na utendaji wa kazi
zaokila siku.
Mfanyakazi akiuliza swali wakati wa mkutano huo.
Mkurugenzi
wa Raslimali watu wa TBL Group akiongea wakati wa mkutano huo
Wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi wa kitengo cha
Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz
Mkurugenzi wa kitengo cha
Raslimali watu wa kampuni ya SABMiller kanda ya Afrika,Lucia Swartz, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi.
No comments:
Post a Comment