Mkuu
wa Mkoa wa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe (Kushoto) akisalimiana na Mkuu
wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya
Nane Nane katika uwanja wa maonyesho ya kilimo Nzuguni Mkoani Dodoma
Viongozi wa Mkoa wa Dodoma na
Singida wakitembelea baadhi ya vibanda vya maonyesho wakati wa ufunguzi wa
Maonyesho ya Nane Nane
Mgeni rasmi alipotembelea
banda la dawa za kilimo, uvuvi na ufugaji Farmer Centre and Farm base
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za
Dodoma na Singida wakiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Singida Mathew
Mtigumwe wakikagua eneo la maonyesho ya kilimo cha zao la zabibu
Mgeni rasmi akisikiliza kwa
kina maelezo juu ya matumizi ya matrekta kwa ajili ya kilimo
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za
Dodoma na Singida wakiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Singida Mathew
Mtigumwe wakikagua eneo la maonyesho ya mboga mboga
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za
Dodoma na Singida wakiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Singida Mathew
Mtigumwe wakikagua eneo la maonyesho ya bwawa la samaki lenye samaki aina ya
perege, kambare na kamongo liloandaliwa na Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Iramba
Zoezi la kutembelea mabanda ya
maonyesho likiwa linaendelea
No comments:
Post a Comment