Ahali eneo la Mikese barabara kuu ya Morogoro-Chalinze ambapo magari mawili yamegongana kishankutumbukia mtaroni n kuwaka moto. Mtu mmoja anahofiwa kufa na kuteketea kwa moto huo.
Moto ukiendelea kuwaka.
Kikosi cha Jeshi la Zimamoto kilifika na kujaribu kuzima moto huo mkubwa ili kuruhusu magari yaweze kupita na kuendelea na safari zao.
No comments:
Post a Comment