August 10, 2016

BENKI YA CRDB YADHAMINI MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA BIASHARA NA MASUALA YA FEDHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi za ndege kwa waandishi wa habari wa watatu waliopata udhamini wa benki hiyo kwenda Nairobi Kenya kuhudhuria mafunzo ya biashara na masuala ya fedha. Waandishi waliopata ufadhili huo ni Finnigan Simbeye (The Guardian, Abduel Elinaza (Daily News) na Samuel Kamndaya (The Citizen). Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi za ndege kwa waandishi wa habari wa watatu.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akuzungumza katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kushoto), akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda Nairobi Kenya, Mwandishi wa Habari wa gazeti la The Guardian Finnigan Simbeye.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kushoto), akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda Nairobi Kenya, Mwandishi wa Habari wa gazeti la Daily News, Abduel Elinaza.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kushoto), akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda Nairobi Kenya, Mwandishi wa Habari wa gazeti la Citizen, Samuel Kamndaya.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari za Biashara na Masuala ya Fedha walipota udhamini wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment