Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Wanakijiji cha Isalalo
Wazee wa Mila
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni
Wazee wa Mila wakiwa upande wa wageni maalum
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akivishwa shuka katika hatua ya kusimikwa uchifu huo
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akikabidhiwa mkoba wa mishale. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akipewa baraka na wazee hao
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akirejea kukaa baada ya kukabidhiwa Uchifu wa Wanyamwezi
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Diwani wa Kata Utwigu
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa shukrani zake kwa wananchi
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Kijiji
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akipokea salamu kutoka kwa watoto
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akipata picha ya pamoja na wazee wa mila pamoja na wanakijiji
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akiwaaga wazee wa mila
Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla akipiga picha pamoja na vijana wa kijiji hicho. (Picha zote na Andrew Chale,Nzega-Tabora).
*********
Mbunge
wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla amepewa
heshima ya Uchifu wa Watanzania wa Kabila la Wanyamwezi na Wazee wa
Kijiji cha Isalalo katika Kata ya Utwigu iliyopo katika Jimbo hilo la
Nzega Vijijini Mkoani Tabora.
Dk.
Kigwangalla ambaye yupo ziarani katika maeneo mbalimbali ya Jimbo hilo
kwa lengo la kushukuru Wananchi hao kwa kumpigia kura nyingi za
zilizomwezesha kuingia Bungeni, ambapo katika tukio hilo
lililoshuhudiwa na umati mkubwa wa wanakijiji wa Kijiji hicho,
Wazee
hao wa Mila walieleza kuwa, hatua hiyo ya kusimikwa Uchifu wa heshima
wa kabila la Wanyamwezi ni ishara kubwa kuwa Kijana mashuhuri na kijana
mpiganaji sawasawa hivyo kwa ushindi wake kuchaguliwa nahata kupewa
Uwaziri (Naibu Waziri), ni ishara kubwa ya kufikia malengo yake
aliyokusudia katika Taifa hili.
Wazee hao wa Mila waliweza kumkabidhi mishale, Mkuki, upinde na kumtakia kila lakheri katika safari yake hiyo ya kiutawala.
Akitoa
shukrani zake katika tukio hilo, Dk. Kigwangalla amesema kuwa, Wananchi
wake wategemee neema kubwa kwani kwa sasa yupo katika hatua ya utendaji
kazi Zaidi na kuwataka wawe na Imani naye pamoja Serikali iliyopo
madarakani kwani imejipanga kuleta maendeleo makubwa.
“Nawashukuru
nyie kwa kuniwezesha kunipigia kura nyingi sana ambazo zimeniwezesha
mimi kupata nafasi ya kuingia Buangeni. Nawaahidi kuwatumikia kwa nguvu
zangu zote. Nguvu nilizozianza tokea awali na kwa sasa zitakuwa kubwa
Zaidi, muendelee kuniombea.
Nafahamu
kuna kero nyingi sana, shida za barabara za kuingia na kutoka huku
Vijijini, Suala la Umeme na mengine mengi haya yote yanafanyiwa kazi na
taratibu zote zinaenda vizuri.” Alieleza Dk. Kigwangalla wakati wa
kuwashukuru wananchi wa kijiji hicho cha Isalalo.
Ziara
hiyo iliyoanza tokea Julai 13 mwaka huu, Mbunge huyo ambaye Jimbo lake
hilo lenye jumla ya Kata 19, zikiwemo Kata ya Puge, Ndala, Nata,,
Sanzu, Lusu, Milambo Itobo, Magengati, Budushi, Nkiniziwa, Mbagwa,
Mizibaziba, Utwigu, Muhugi, Mwantundu, Wela, Mwasala, Tongi, Ugembe.
Ambapo
katika Vijiji vya Kata hizo amewafikia wananchi na kuwashukuru kwa
hatua yao ya kumchagua ambapo pia ameweza kutekeleza ahadi aliyoitoa
yeye mwenyewe ikiwemo vifaa vya michezo kwa timu za vijana, pamoja na
kutimiza ahadi za michango mbalimbali ikiwemo ya kuchangia ujenzi wa
shule, makanisa, misikiti, Zahanati na mambo mbalimbali huku pia
akipokea maoni na uashahuri kutoka kwa wapiga kura wake hao.
No comments:
Post a Comment