Mwanasheria wa Property International Limited Hazel
Chonya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanasheria wa Bayport, Mrisho Mohamed (wa
pili kulia) baadhi ya hati za viwanja vilivyosajiliwa na wizara ya ardhi nyumba
na maendeleo ya makazi kwa wateja wa Bayport kwa viwanja vya mradi wa Vikuruti
Kibaha, mradi ambao unauzwa na kampuni ya Property International Limited kwa
kushirikiana na Bayport. Kushoto) Ofisa Uendeshaji Property
International,George Obado na Meneja Masoko wa Property International Leila
MainguKATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 16, 2016
PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED YAKABIDHI BAYPORT HATI ZA VIWANJA VYA MRADI WA VIKURUTI KIBAHA PWANI.
Mwanasheria wa Property International Limited Hazel
Chonya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanasheria wa Bayport, Mrisho Mohamed (wa
pili kulia) baadhi ya hati za viwanja vilivyosajiliwa na wizara ya ardhi nyumba
na maendeleo ya makazi kwa wateja wa Bayport kwa viwanja vya mradi wa Vikuruti
Kibaha, mradi ambao unauzwa na kampuni ya Property International Limited kwa
kushirikiana na Bayport. Kushoto) Ofisa Uendeshaji Property
International,George Obado na Meneja Masoko wa Property International Leila
Maingu
No comments:
Post a Comment