June 19, 2016

KANISA LA SLOAM LAUOMBEA AMANI MKOA WA DAR ES SALAAM


Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo, Mbezi Makonde, jijini Dar es Salaam. Picha zote na Bashir Nkoromo
 Wakili wa Mungu wa Kanisa la The Pool of Siloam  Church, Elisha Eliya akiendesha sala maalum ya kuuombea amani mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania kwa jumla wakati wa Ibada iliyofanyika leo, katika Kanisa hilo, Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Picha zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment