KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 09, 2015
RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA
Rais,
Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa
kwenye kwenye wodi ya sewahaji, kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
jijini Dar es salaam leo wakati wa ziara yake ya kushtukiza .
No comments:
Post a Comment