November 18, 2015

DK TULIA APITISHWA NA CCM KUGOMBEA NAFASI YA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempitisha Dk Tulia Ackson, kugombea nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Dk Tulia awali alikua akigombea nafasi ya Spika kabla ya kuingia katika mtanange wa Naibu Spika. Aidha Naibu Mwanasheria huyo wa zamani aliteuliwa juzi na Rais Dk John Magufuli,kua Mbunge wa kuteuliwa na Rais.

No comments:

Post a Comment