October 29, 2015

WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUJISHINDIA PESA TASLIM KILA WIKI


Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana  Isack Willson Mrema   kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”.
Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia)  akimpongeza bwana   Josephat Sagati   (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni moja.

No comments:

Post a Comment