October 08, 2015

TIGO WAENDELEA KUSHEHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Meneja wa duka la TigoNkurumah, Lulu Kikuli  akimkabidhi zawadi  ya simu Grace Joachim mkazi wa Tandale  ikiwa ni  sehemu maadhimisho  ya wiki ya wateja wa Tigo
Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga akifanya mahojiano na  mteja wa  Tigo, Hamadi Maliwata  mkazi wa Mbagala kwenye maadhimisho  ya wiki ya  wateja wa  Tigo
Meneja wa Duka la Tigo Nkurumah, Lulu Kikuli  akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari   wa TV1 Robert Latonga
Meneja wa ubora  huduma  kwa wateja  wa  Tigo Bi. MwangazaMatotola, akimkabidhi  fulana  mteja wa  Tigo  Nickson Mbwambo  mkazi wa  Mabibo,
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry(kushoto), Halima Kasoro (katikati) na Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Mwangaza Matotola (kulia) wakiwa kwenye picha ya  pamoja
Mteja  wa   Tigo  Zenah   Hamdi mkazi wa  Tandika, akipata   huduma toka kwa Mtoa huduma wa   Kampuni ya Tigo

No comments:

Post a Comment