October 13, 2015

TASWA YAMPA TUZO RAIS JAKAYA KIKWETE KWA MCHANGO WAKE KATIKA MICHEZO NCHINI

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto akimpa Rais  Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jana  jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dionis Malinzi na kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Fenella Ephraim Mukangara.

No comments:

Post a Comment