Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia
kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni
kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara
Jumamosi Oktoba 10, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe
Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj
Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho
kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara
Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka
Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua
kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki
huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na familia yake na
ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa
sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya
saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015.
Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj
Aliko Dangote wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa
kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi
Oktoba 10, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe
kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni
kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara
Jumamosi Oktoba 10, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa
uzalishaji Bi. Mbumi Mwampeta (23) kuhusu uzalishaji wa satuji kwa njia
za kisasa baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote
ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko
Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015.
No comments:
Post a Comment