Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisaini kitabu cha maombolezo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila wakati wa kuuaga mwili wa mwanasiasa huyo katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo. Mwili huo ulisafirishwa kwenda Ludewa, mkoani Njombe kwa maziko.
Rais Kikwete akipita kutoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Mch. Mtikila
Rais Kikwete akiwapa mkono wa pole ndugu Marehemu Mtikila
Rais Jakaya Kikwete akiwa na viomngozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa na Serikali wakati wa kuaga mwili wa Mch. Christopher Mtikila hii leo.
No comments:
Post a Comment