October 26, 2015

MATOKEO RASMI YA MAJIMBO MATATU

????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akitangaza matokeo ya awali ya majimbo matatu kwenye ukumbi wa mikutano wa DICC jijini Dar es salaam huku akiwa ameongozana na wakurugenzi wa vitengo na maofisa zwa tume hiyo.  Jaji Lubuva ametangaza majimbo ya Paje Mkoa wa Kusini Unguja, Makunduchi na Jimbo la Lulindi mkoani Mtwara ambapo.
????????????????????????????????????
Jaji Lubuva akiendelea kutangaza matokeo hayo wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Ramadhan Kailima  na wa kwanza  ni Jaji Mstaafu Hamid Mahmod.

No comments:

Post a Comment