October 12, 2015

MANJI AWAELEZA WANA MBAGALA KUU MIKAKATI YAKE PINDI WAKIMCHAGUA KUWA DIWANI WAO

 
Ni wakati wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Wabunge na Madiwani kunadi sera zao na za vyama vyao kwa wapigakura, hii ikiwa ni katika kuwashawishi wananchi hao kuwachagua kuwaongoza katika kipindi cha miaka 5 ijayo. 

Hapa nawaletea yale ambayo yameainishwa na Mgombea Udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu, katika Jimbo la Uchaguzi la Mbala jijini Dar es Salaam, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),  YUSUF MANJI ambayo ameahidi kuwafanyia wananchi wake pindi tu wakimchagua kushika wadhifa huo. Ahadi hizi ameahidi kuanza kuzitekeleza kuanzia siku ya kwanza tu ya kuchaguliwa kwake na ndani ya miaka miwili mbagala Kuu itabadilika nakuwa Kata ya Mfano jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Soma hapa aliyoahidi Manji.

No comments:

Post a Comment