Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo
Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya
pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani
Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba
21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama
wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja
wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo
zinapofanyika.
Kamishna wa Tume ya Haki Binadamu na Utawala Bora,Zanzibar ,Mohamed Khamis Hamad akizungumza katika maadhimisho hayo.
Wanafunzi wa Shule ya Mchepuo wa kiingereza ya St.Jude ya Jijini Arusha wakiigiza athari za watoto wa kike kukeketwa.
Wanafunzi wa Shule ya Mchepuo wa kiingereza ya St.Jude ya Jijini Arusha wakiigiza athari za watoto wa kike kukeketwa.
No comments:
Post a Comment