October 15, 2015

LOWASSA AITIKISA SENGEREMA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chadema, Hamis Tabasamu, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza leo Oktoba 15, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Sengerema, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza leo Oktoba 15, 2015
Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akitoa somo la namna ya kupiga kura kwa wananchi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Jimbo la Magu, Mkoani Simiyu leo Oktoba 15, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Sengerema Jijini Mwanza wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Sengerema, Jijini Mwanza leo Oktoba 15, 2015. Picha: Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment