October 31, 2015

DISTRICT 9 WAIBUKA NA "Ee eh"

Kundi jipya la muziki linalojulikana kama District 9 limeibuka na kibao kikali kijulikanacho kama Ee eh

District 9 inaundwa na vijana ambao fani yao ya kwanza siyo muziki wala usanii ila wana vipaji vya muziki na wakiwa wanafanya kazi za taaluma mbalimbali.
Miongoni mwao yupo mwana dada ambaye ni kapteni wa jeshi, mwanasheria, Meneja Masoko na wenye fani nyinginezo. Dhamira yao ni kutoa nyimbo zenye ujumbe wa kuelimisha jamii.

No comments:

Post a Comment