October 18, 2015

COKE STUDIO YAPELEKA SHANGWE KWA WANAFUNZI MBEYA,DAR, ARUSHA NA MWANZA

Wanafunzi wa shule ya sekondari ya  Sunrise iliyopo Mwanza wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiwa na kinywaji cha Coca Cola shuleni hapo
*****************
Shangwe ya Coke studio yaleta furaha kwa wanafunzi mashuleni -Mwanza,Dar,Mbeya na Arusha waonyesha vipaji vyao vya kuimba Msimu wa Coke studio mwaka huu ambao unajumuisha kolabo ya wanamuziki wa Tanzania na wanamuziki kutoka nje ambao umezinduliwa mapema wiki iiyopita unazidi kuleta burudani katika makundi mbalimbali ya jamii ambao wanafunzi wa sekondari wamepata fursa ya kushiriki na kuonyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba. 

Katika matamasha yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika mikoa ya Arusha,Mbeya,Mwanza na Dar es Salaam wanafunzi kutoka shule mbalimbali waliweza kushiriki burudani za Coke studio na kuonyesha vipaji vyao vya kuimba na kucheza ise iliyopoManispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Janeth Malima akionyesha kipaji cha kucheza kwenye burudani ya tamasha la Coke Studio iliyofanyika shuleni hapo jana .

Wanafunzi wa sekondari za Bwiru na Sunrise wakionyesha wakipozi wakati wa tamasha la muziki la Coke Studio lililofanyika sekondari ya Bwiru  mjini  Mwanza

Mwanafunzi akionesha umahiri wake.
Msanii chipukizi wa dance mkoani Mwanza, Jembe Ulaya akitumbuiza kwenye burudani ya Coke Studio iliyofanyika katika  shule ya Sekondari Sunrise jana

No comments:

Post a Comment