September 30, 2015

SHEREHE YA WAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD KIJIJINI MAKANYA SAME MOSHI

Mgurugenzi Kissa Pharmacy Ltd Ndugu Gaspar Kilango Singo akizungumza na wafanyakazi wake katika sherehe hiyo iliyofanyika kijijini kwao Mnazi Makanya Wilayani Same Moshi Kilimanjaro
Ndugu na jamaa wa familia ya Kilango wakijumika pamoja katika sherehe hiyo.
Wazazi wa Mkurugenzi Kissa Pharmacy Ltd








Picha- Emanuel Madafa Jamiimojablog, Mbeya

No comments:

Post a Comment