September 26, 2015

MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAREJESHWA NCHINI

Mwili wa aliyekuwa Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celina Ompeshi Kombani umerejeshwa nchini hii leo na kupokelewa na watu mbalimbali wakiwepo Viongozi wa Serikali, Ndugu jamaa na marafiki.
 
 
 
 
 
Viongozi mbalimbali wakiwa katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julias Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa kuupokea mwili wa marehemu Celina Kombani. SOURCE: KAJUNASON BLOG

No comments:

Post a Comment