July 14, 2015

NAIBU IGP AMTEMBELEA MAJERUHI WA UVAMIZI WA KINYEREZI

Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi DIGP, Abrahaman Kaniki(kushoto)   akimuangalia majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi sitakishari konstebo Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu.

Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi DIGP, Abrahaman Kaniki(katikati)  akimuangalia majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi sitakishari konstebo Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu. Kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.

No comments:

Post a Comment