KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 17, 2015
EID MUBARAK WADAU WOTE WA FATHER KIDEVU BLOG
Uongozi wa Father Kidevu Blog na ule wa MD Digital Company unawatakia Waislam wote Ulimwenguni Heri na fanaka katika kusherehekea kumalizika salama kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
No comments:
Post a Comment