January 28, 2015

UTT YAANZA KUUZA VIWANJA NEW CHALINZE CITY

TANGAZO KWA UMMA
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini Wizara ya Fedha anautangazia Umma juu ya upimaji na uuzaji wa viwanja katika mji wa Chalinze (New Chalinze City). Fomu za Maombi zinapatikana katika matawi ya Benki ya Posta ya Azikiwe, Metropolitan na Mkwepu kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kwa Pwani zinapatikana katika tawi dogo la Benki ya Posta Bagamoyo na ofisi za Posta Chalinze. Pia maombi yanaweza kufanyika kupitia tovuti yetu ya : http://www.utt-pid.org
Au
                       http://www.utt-pid.org/application.php
Na kulipia katika tawi lolote la Benki ya Posta nchini.

No comments:

Post a Comment