KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
January 05, 2015
MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA.
Mrembo wa miss
Universe Tanzania 2014, Narietha Boniface ameondoka rasmi nchini kuelekea nchini Marekani kwenye
fainali za dunia za Miss Universe
zitakazofanyika jijini Miami tarehe 25 Januari 201.
No comments:
Post a Comment