MBUNGE wa Jimbo la Msalala, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Ezekiel Magolyo Maige akikamua maziwa hivi karibuni Kijijini kwake Segese wakati wa mapumziko ya mwaka mpya. Ufugaji ni moja ya vitu ambavyo huwapatia si tu fedha wakazi wengi wa vijijini bali pia lishe bora ya maziwa na nyama.
Maige akikamata ngombe wa kwenda kumkamua kwa kumshika pembe.
No comments:
Post a Comment