January 01, 2015

DIAMOND NA ZARI WAZURU MAKUMBUSHO YA MAUAJI YA KIMBARI NCHINI RWANDA

Diamond na Hassan Zari mu rwibutso rwa Kigali babajwe n'ibyo bahabonye
MSANII nguli wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond' na rafiki yake wa kike mganda Zari Hassan wamezuri makumbusho ya taifa ya mauaji ya kimbarti nchini Rwanda.

Diamond yupo mjini Kigali Rwanda kwaajili ya show kadhaa za mwaka mpya ikiwa ni mwaliko maalum wa East Africa Promotion 

Wawili hao wakiwa katika jumba hilo waliweza kujionea pichja mbalimbali za mauaji hayo jambo ambalo lilipelekea Zari kububujikwa na machozi kutokana na picha hizo na maelezo ya mauaji ya 1994 ambayo yaligharimu uahai wa watu zaidi ya 500,000.

“Everyone has a breaking point…. I was so touched,” aliandika mrembo huyo kwenye picha inayomuonesha akilia. “Women and children were raped then killed…. sad story. God bless you more Rwanda,” aliandika kwenye picha nyingine.

Diamond alitumbuiza katika part ya Vibe Party katika viwanja vya Expo katika mji wa  Gikondo na pia alitaraji kutumbuiza katika uwanja wa Amahoro.
Diamond n'inshuti ye Zari imbere mu rwibutso
Matembezi ndani ya jumba hilo yakiendelea...kushoto ni Meneja wake Mkubwa Fela

Babajwe cyane n'ibyo babonye
Ilikuwa ni mshituko na msngao mkubwa juu ya matukio waliyoyaona.
mucuti we ntiyihanganye yarize
Diamond na Zari wakiwa katika jumba hilo.
Hassan Zarinah ukomoka muri Uganda yarize cyane
Zari akiwa na huzuni kubwa katika jumba hilo.

No comments:

Post a Comment