Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na wananchi alipowasili Uwanja wa Taifa jijini Dar
es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015 kwa ajili ya kuhudhuria
Tamasha la mkesha wa Mwaka Mpya na Dua maalum ya kuliombea Taifa.
Wananchi
mbalimbali wa mkoa wa Dar es salaam wakishangilia kwa furaha wakati
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, alipokua akihutubia Taifa kwenye Tamasha la Mkesha wa
mwaka mpya wa 2015 iliyofanyika Disemba 31, 2014/2015 usiku wa kuamkia
mwaka mpya Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia Taifa kwenye Tamasha la Mkesha wa mwaka mpya wa 2015
iliyofanyika Disemba 31, 2014/2015 usiku wa kuamkia mwaka mpya Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongoza Viongozi na Wananchi kupeperusha bendera ya Taifa
wakati ulipoingia mwaka mpya wa 2015 kwenye Tamasha la mkesha na Dua
maalum ya kuombea Taifa lililofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana usiku Disemba 31, 2014/2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwatakia heri ya mwaka mpya wa 2015 Viongozi na Wananchi baada
ya kumalizika kwa Tamasha na Dua maalum ya kuliombea Taifa lililofanyika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Disemba 31, 214/2015.
No comments:
Post a Comment