December 11, 2014

Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment