Mkazi wa Dar es Salaam akiangalia viwango vya kubadilisha fedha katika moja ya maduka ya jijini Dar es Salaam jana ambavyo vilionesha dola kupanda hadi kufikia shilingi 1,720 kulingana na 1,570 ya mwezi Januari mwaka huu. Leo hii dola moja imeuzwa kwa shilingi 1,730 kwaa baadhi ya maduka.
No comments:
Post a Comment