December 29, 2014

MVUA SHAMBA MJINI MH KEROOOOOOO KAMA HII



Haya ni mafuriko madogo yaliyotokea hii leo baada ya mvua kubwa ilyonyesha kwa saa kadhaa maoneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam. Mvua hizo zilileta kizaa zaa katika baadhi ya mitaa na barabara jijini kama inavyoonekana pichani. hapa ni Akiba katika barabara ya Bibi Titi Mohamed.
Barabara ya Bibi Titi ebneo la Akiba 
 Hii ni Bibi Titi eneo la Gold Star.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.

Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.

Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.

No comments:

Post a Comment