December 08, 2014

MAONESHO YA KEKI LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Jumla ya makampuni na watengenezaji keki wapatao 39 wameshiriki katika maonesho hayo ya keki yalioandaliwa na kampuni ya Insights Productions Limited kwa udhamini wa Kampuni ya Azam Tanzania.Maonesho hayo yaliyojulikana kama ‘Azam World of Cakes Exhibition’ yalifanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Azam.
 Moja ya keki ambazo zilishiriki ilitengenezwa kwa umbo la lori la mafuta la Azam.
 Wakazi wa Dar es salaam wakianga;lia keki na kupata maelezo kutoka kwa wapishi.
 Amina Ally kutoka kampuni ya Mina Cake ya jijini Dar es salaam akiwahudumia wageni waliotembelea meza yake.
 Keki hii nayo ilivuta wengi
 Mapambo na rangi za kuvutia...
 Hii nayo ilivuta wengi
 Wadhamini wa Onesho hilo la Keki.
Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.
Majaji wa Maonesho ya ‘Azam World of Cakes Exhibition’ watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.

No comments:

Post a Comment